Mgombea urais wa Fifa Prince Ali Bin
Al Hussein wa Jordan amesema kuwa yupo imara mno kuweza kuongoza
shirikisho hilo la soka duniani.
Pia amesema anaweza kuaminika katika
jaribio la kuleta mageuzi ya kweli kuhusiana na mgogoro ulioikumba
Fifa.
Fifa inachunguzwa kwa sasa baaada ya
tuhuma za rushwa zinazowakabili baadhi ya viongozi wake wakuu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni