Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na balozi Namibia nchini, Mhe. Japhet Isaack ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akimkabidhi Balozi wa Namibia nchini aliyemaliza muda wake, Mhe. Japhet Isaack zawadi ya ramamni ya Tanzania iliyochongwa kwenye mti wa mpingo ili aendelee kuikumbuka Tanzania atakapoondoka. alozi alikwendaofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Januari 8, 2016 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Balozi wa Tanzania nchini, Japhet Isaack zawadi ya kinyago cha pundamilia ili atakapoondoka nchini abaki na kumbukumbu ya wanyamapori ambao nimuhimu kwa utalii hapa nchini. Balozi huyo alikwenda Ofisini kw Waziri Mkuu jijini Dares salaam Januari 8, 2016 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni