Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Pekka Hukka kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na balozi wa Finland nchini Mhe. Pekka Hukka kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Januari 8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni