Familia ya Kalugendo inapenda kukuarika kushiriki nasi kwenye misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha baba yetu mpendwa Mzee Amos Kalugendo, misa itafanyika tarehe 12.01.2016 nyumbani Karakata Bondeni saa 11 jioni.
Pia katika misa hiyo kutakuwa na Sadaka maalumu ya shukrani makusanyo yatapelekwa kanisani kuchangia ujenzi wa Kanisa na baada ya misa kutakuwa na chakula cha jioni kwa wote. Karibuni sana tujumuike pamoja katika kumuombea baba yetu. Asante
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni