Jumamosi, 9 Januari 2016
MV MAPINDUZI II YAANZA SAFARI YAKE YA KWANZA KWENDA KISIWANI PEMBA
Meli ya MV Mapinduzi 2 ikiaza safari yake baada ya kupakia abiria katika bandari ya Malindi Unguja na kuelekea Kisiwani Pemba ikiwa katika safari yake ya kwanza tangu kuwasili Zanzibar ikitokea Nchini Korea ilikotengenezwa.. Na inategemewa kurejea Zanzibar kesho mchana ikitokea Pemba. Kwa hisani ya ZanziNews
M V Mapinduzi ikielekea Kisiwani Pemba baada ya kuaza safari yake ya kwanza leo asubuhi.
Kepteni ya MV Mapinduzi akiwa na Maofisa wake bridge wakati Meli hiyo ikiachia Gati ya Malindi kuanza Safari yake Kisiwani Pemba.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni