.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Januari 2016

MWANAMUZIKI DAVID BOWIE AFARIKI DUNIA

Baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ( cancer ) kwa muda wa miezi 18, mwanamuziki mahiri David Bowie amefariki dunia akiwa amezungukwa na familia yake nyumbani kwake jana jijini New York. 

Bowie mkali wa muziki wa Rock, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 69. 

Miongoni mwa nyimbo zilizompatia umaarufu mkubwa ni pamoja na Heroes, Under Pressure, Rebel Life on Mars na Suffragette City.

Watu mbalimbali ulimwenguni wamekuwa wakituma salaam za pole kwa familia ya Bowie huku wengine wakimuelezea mwanamuziki huyo kupitia mitandao ya kijamii kwa namna walivyokuwa wanamfahamu.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni