.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Januari 2016

WAANDAMANA UJERUMANI KULAANI MASHAMBULIZI YA NGONO NA WIZI

Mamia ya watu wameandamana katika mji Cologne nchini Ujerumani kutokana na mashambulizi ya ngono na wizi uliofanywa na kundi la wanaume wakati wa mkesha wa mwaka mpya.

Baadhi ya watu wamemtaka Kansela wa Ujerumani, Bi. Angela Merkel, kuchukua hatua dhidi ya wahalifu hao vijana waliokuwa wamelewa.

Bi. Merkel ameonyesha kuchukizwa na mashambulizi hayo ya aibu, na kusema watafanya kila namna ili kuwabaini wahusika.

Mashahidi na polisi wamesema wanaume hao waliofanya uhalifu wa ubakaji na wizi walikuwa ni wenye asili ya Kiarabu au Kaskazini mwa Afrika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni