Watu wapatao 47 wameuwawa kwa
shambulio la bomu lililowalenga polisi katika kituo cha mafunzo
kwenye mji wa magharibi mwa Libya wa Zliten.
Vyombo vya habari vya Libya vimesema
shambulizi hilo limefanyika kwenye kambi ya mafunzo la al-Jahfal.
Kambi hiyo ya mafunzo ya polisi
ilikuwa ni kambi ya jeshi wakati wa utawala wa kiongozi wa Libya
aliyeondolewa madarakani Muammar Gaddafi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni