Maafisa 27 wa China wamepewa adhabu
kwa kutekeleza adhabu ya kifo kwa kijana mdogo kimakosa shirika la
habari la taifa la China, Xinhua limesema.
Kijina Huugjilt alikuwa na umri wa
miaka 18 alipotiwa hatiani kwa ubakaji na kumuua mwanamke katika choo
cha umma cha kiwanda mwaka 1996.
Mtu aliyehusika na ubakaji alikiri
kutenda uhalifu huo mwaka 2005 na Huugjilt alitekelezewa adhabu ya
kifo mwaka 2014.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni