.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Februari 2016

NEYMAR KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI KUHUSIANA NA FEDHA ZA UHAMISHO

Mchezaji wa Brazil Neymar anatarajiwa kutoa ushahidi katika mahakama nchini Hispania kuhusina na tuhuma za kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu katika uhamisho wa kujiunga na Barcelona.

Rais wa sasa na wa zamani wa klabu hiyo ya Hispania wamekanusha kufanya kosa lolote Jijini Madrid hapo jana.

Barcelona imesema ililipa euro 57m (£43m) kwa Neymar mwaka 2013, wazazi wake wakipata euro 40m na klabu ya Brazilian ya Santos euro 17m.

Hata hivyo wapelelezi wanasema ada yake ilifikia karibu euro 83m na Barcelona walificha sehemu ya makubaliano yao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni