.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Februari 2016

BONDIA FLOYD MAYWEATHER ATENGWA NA OFA YA FEDHA KUREJEA ULINGONI

Bondia Floyd Mayweather amepatiwa ofa ya kitita cha fedha kisicho cha kawaida ili kumrejesha tena ulingoni baada ya kustaafu.

Hata hivyo baada ya kupewa ofa hiyo ya fedha zinazofikia tarakimu tisa, Mayweather ambaye alijiuzulu ndondi baada ushindi wa michezo 49 mwezi Septemba, hafikiri kurudi ulingoni.

Mayweather amesema kwa sasa amejitoa ulingoni moja kwa moja, na bado hajafikiria kurejea kuzidunda.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni