.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Februari 2016

SENETA WA TEXAS TED CRUZ AMSHINDA IOWA BILIONEA DONALD TRUMP

Seneta wa Texas, Ted Cruz ameshinda kura za kwanza za maoni ya wanachama wa Republican huko Iowa, katika kampeni za urais.

Cruz amepata asilimi 26 ya kura za Republican, akimshinda mpinzani wake Donald Trump, pamoja na Marco Rubio.

Kwa upade wa kura za Democratic huko Iowa zinahesabiwa huku kambi ya Hillary Clinton ikisema imepata ushindi mwembamba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni