.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Februari 2016

VIKOSI VYA SERIKALI YA SUDANI VYADAIWA KUUA WATU 50 KWA KUWAFUNGIA KWENYE KONTENA

Vikosi vya jeshi la Sudani Kusini vimewauwa raia 50 Oktoba mwaka jana kwa kuwafungia kwenye kontena na kuwacha wakifa kwa joto.

Nyaraka zinazobainisha tukio hilo za Tume ya pamoja ya Thathimini (JMEC) inayofuatilia usitishaji mapigano nchini humo, zimeeleza kuwa tukio hilo limetokea katika jimbo la Unity.

Serikali ya Sudani Kusini haijatoa kauli yoyote kuhusiana na madai hayo ya hivi karibuni ya mauaji ya watu yaliyodumu kwa muda wa miaka miwili nchini humo.

Maelfu ya watu wameuwawa na mamilioni wameachwa bila ya makazi tangu wakati yalipoibuka machafuko.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni