Kesi ya mwanasoko wa Argentina na
Barcelona Lionel Messi kuhusiana na kukwepa kodi imeanza kusikilizwa
nchini Hispania.
Messi na baba yake Jorge, ambaye
ndiye msimamizi wa masuala ya fedha zake, wanatuhumiwa kukwepa kulipa
kodi Hispania ya zaidi ya dola milioni 4.5 mwaka 2009.
Mamlaka nchini Hispania zimedai kuwa
wawili hao walitumia mataifa yayotumika na wakwepa kodi ya Belize na
Uruguay kuficha mapato.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni