Hatimaye Manchester United imemtimua kocha wake, Louis van Gaal ikiwa ni siku mbili tu tangu aiongoze timu hiyo kutwaa kombe la FA mbele ya Crystal Palace.
Muholanzi huyo hakuwa na msimu mzuri katika ligi kuu ya England hali iliyo wafanya wamiliki kumuondoa.
Kuondoka kwa Van Gaal sasa ni wazi kwamba Mreno mwenye mafanikio makubwa Jose Mourinho atakabidhiwa mikoba ya kuinoa timu hiyo muda wowote toka sasa.
Naelekea Old Trafford. Kocha Jose Mourinho akiwa katika gari
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni