Mabomu
yameuwa watu wapatao 78 katika matukio ya mashambulizi ya mfululizo
kwenye ngome kuu za serikali ya Syria, Pwani ya Mediterranean.
Pia
kituo cha basi na hospitali ni miongoni mwa maeneo yaliyoshambuliwa
kwa mabomu mengine manne kwenye mji wa Jableh kaskazini mwa Syria.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni