Lengo kuu la mkutano huu ni kutoa taarifa za utendaji kwa mwaka 2015/2016 pamoja na kupokea mapendekezo mbalimbali kutoka kwa wadau ili kuboresha zaidi huduma kwa wanachama na wadau wa mfuko. Kauli mbiu ya mkutano huu ni “HIFADHI YA JAMII KWA KILA KAYA”
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF, S.L.P 11492 Dar es Salaam. Simu: +255 22 2927668/9
Wote Mnakaribishwa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni