Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi, Mhe. Andrew John Chenge (kulia) akiwa ameongozana na Mbunge mwenzie wakielkea ndani ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge Jimbo la Ngorngoro, Mhe. William Tate Ole-Nasha akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum CCM, Mhe. Mary Machuche Mwanjelwa akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma. Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa CCM Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Mwijage akiwasili Bungeni kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini Dodoma.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO, DODOMA.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni