Majivu mazito
yamefunika vijiji kadhaa nchini Indonesia baada ya kulipuka kwa
Volkano kwenye Mlima Sinabung katika kisiwa cha Sumatra.
Watu wapatao saba
wamekufa baada ya majivu ya moto na gesi kuzingira shamba lao karibu
na mlima huo jumapili. Waokoaji bado wanatafuta manusura.
Majivu yakiwa yamefunika maaneo mengi kama inavyoonekana
Wanakikiji wakiwa wamerejea katika makazi yao kuokoa vitu vyao baada ya Volkano kusimama kwa muda
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni