Mvua imeanza kunyesha
katika Jiji la Delhi nchini India na kutoa ahueni kwa taifa hilo
lililokabiliwa na joto kali.
Taifa hilo limeshuhudia
kiwango cha juu kabisa cha joto cha nyuzi joto 51 na kuweka rekodi
duniani.
Watu wakifurahia ujio wa mvua mitaani Jijini Delhi, baada ya kuteseka na joto kali
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni