Hawa ndio wazazi wa mtoto
aliyetumbukia ndani ya banda la Sokwe Mtu huko Cincinnati Marekani na
kusababisha kuuwawa kwa risasi mnyama huyo mwenye umri wa miaka 17
aitwae Harambe ili kuokoa masha ya mtoto.
Mama wa mtoto huyo wa miaka minne ni
Michelle Gregg, 32, ambaye mzazi mwenzake ni Deonne Dickerson, 36,
ambaye imeelezwa anarekodi mbaya ya uhalifu kuanzia wa kusafirisha
dawa za kulevya, utekaji na ukorofi.
Sokwe Mtu huyo akiwa na mtoto wa miaka minne kabla ya kuuwawa
Watetezi wa haki za wanayama wakiandamana kuonyesha hisia zao kufuatia kuuwawa kwa sokwe Harambe
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni