Mshambuliaji Paul Pogba
anayejulikana kwa staili zake za kunyoa nywele ameongeza aina
nyingine ya kunyoa kwa kuandika kichwani maneno 'POGBOOM' ikiwa ni
maalum kwa Michuano ya Ubingwa wa Ulaya.
Nyota huyo wa klabu ya Juventus
amekuwa akizungumziwa mno kuweza kuwania tuzo ya mchezaji bora
duniani katika miaka ijayo, ametambulisha staili yake hiyo jana
wakati Ufaransa ikiifunga Cameroon kwa magoli 3-1 yeye akitumbukiza
goli moja.
Paul Pogba akishangilia goli alilofunga
Giroud ambaye naye alifunga goli wakipongezana na Paul Pogba
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni