Waziri
Mkuu, Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame
kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia
ambako walihudhuria mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei
24, 2016, Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Zambia kwenye
ubalozi wa Tanzania uliopo Lusaka Mei 24, 2016. Majaliwa alikwenda
Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli kwenye Mkutano wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika- ADB uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Mlungushi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya Watanzania waishio Zambia wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakatia lipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo
Lusaka. Majaliwa alikwenda Zambia kumwakilisha Rais John Magufuli
kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB, Mei 24, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni