Muaji huyo Michael Madison
amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumuua Shirelda Terry, 18, Angela
Deskins, 38, na Shetisha Sheele, 28, huko Ohio Julai 2013.
Baba wa marehemu Shirelda Terry, Van
Terry alikuwa akiielezea mahakama namna alivyompoteza binti yake,
baada ya muuaji wake kuhukumiwa adhabu ya kifo, na ghafla alimrukia
muaji huyo aliyekuwa akitabasamu.
Maafisa wa Mahakama na polisi wakijaribu kumdhibiti Baba wa marehemu Shirelda
Marehemu Shirelda Terry
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni