Klabu ya Barcelona imekubali kulipa
faini ya paundi milioni 4.3 kuhusiana na uhamisho wa nyota wa
kimataifa wa Brazil, Neymar mwaka 2013.
Rais wa Klabu hiyo Josep Maria
Bartomeu amewaambia waandishi wa habari kuwa kulikuwa na makosa, ya
kupanga kodi wakati wa kufanya uhamisho.
Klabu ya Barcelona ilikuwa
ikituhumiwa kwa kukwepa kodi baada ya kunasa saini ya Neymar, lakini
ilikanusha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni