Mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo
amekuwa akitumia muda mwingi kujijenga misuli yake ya mwili akiwa gym
kiasi cha kuwa miongoni mwa wanasoka walofiti mno.
Ni kawaida kwa sasa kuona wachezaji
kuwa na wakufunzi wao binafsi wa mazoezi, huku wengi wao pia wakiwa
na gym nyumbani kwao.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni