Meneja Mkuu kiwanda cha Tosti ambao ndio wanunuzi wakubwa wa viazi akitoa melezo. Kiwanda hiki kipo Iringa na kina mahitaji ya viazi kiasi cha tani 150 kwa wiki za viazi mbalimbali.
Sheikh Mwang'amilo akimpongeza Mkuu wa Wilaya na kuwaomba wananchi walime viazi vitamu kwa wingi na kuacha kunywa ovyo pombe.
Alitoa rai hiyo
katika siku ya Wakulima katika kijiji cha Luganga kata ya Ilolo Mpya
tarafa ya Pawaga. Hafra hiyo iliyo andaliwa na mradi wa Viazi Lishe
"Viable Sweet Potato Technlogies in Africa-VISTA na kufadhiriwa na
seriakli ya watu wa Marekani (USAID) unajumuisha Halmashauri 7 ikiwemo
IRinga, Wangingombe, Gairo, Mufindi, Ulanga,Mbozi na Chunya.
Katika
mradi huo wakulima wanahamasishwa kulima viazi lishe kwa ajili ya afya
ya mama na mtoto na pia kwa ajili ya biashara ambapo bidhaa kama juice,
chapati, kakau(clips), tambi, mkate , maandazi na bidhaa zingine nyingi
huweza kutengenezwa ili kukuza kipato.
Akimkaribisha mgeni rasmi Meneja
wa Mradi wa VISTA Bwana Fred Grant alisema mradi huu uko katika mwaka wa
2 na ni wa miaka 3 ni muhimu Tanzania ikaanza kufikiria jinsi ya
kuuendeleza nchi nzima kwani manufaa yake ni makubwa.
Sherehe hizo pia
zilihidhuriwa na waakilishi kutoka Halmashauri zote 7 zinazonufaika na
mradi huo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni