Kocha
wa zamani wa Chelsea, Roberto di Matteo, ametangazwa kuwa kocha mpya
wa timu ya Aston Villa ya Uingereza.
Muitalia
huyo anachukua mikoba Remi Garde ambaye alifukuzwa mwezi Machi kabla
ya klabu hiyo kushuka daraja.
Di
Matteo, aliyeshinda Ligi ya Mabingwa akiwa na Chelsea mwaka 2012,
atasaidiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Chelsea Steve Clarke.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni