Mwanamuziki
Prince alikufa kwa kuzidisha dozi ya dawa ya opiod, vyanza vya habari
vimekieleza chombo cha habari cha Associated Press na tovuti ya
Minnesota.
Afisa
mmoja wa polisi, ambaye anahusika kwa karibu na uchunguzi wa kifo cha
mwanamuziki huyo, amesema vipimo vilivyofanywa vimebaini hilo.
Maafisa
wa upelelezi wameanza kumhoji daktari ambaye alikuwa akimuhudumia
Prince mara mbili kwa wiki kabla ya kifo chake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni