Maelfu ya watu wamekusanyika huko
Orlando Marekani usiku wa jumatatu, kuwakumbuka na kuwaombea watu 49
waliouwawa kwa mashambulizi ya kikatili ya risasi kwenye Klabu ya
Usiku ya Mashoga siku ya jumapili.
Watu wakiwa wamekumbatiana kwa majonzi wakati wa kuwaomboleza waliouwawa Orlando
Vilio vikiwa vimetawala wakati wa kuwaomboleza watu 49 waliouwawa Orlando
Hata wanaume walishindwa kujizuia na kumwaga chozi
Watu wakiwa na mishumaa wakiomboleza wenzao waliouwawa kwenye Klabu ya Pulse huko Orlando
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni