Picha za watu 49 waliouawa kwa kupigwa risasi katika klabu ya usiku ya watu wenye mapenzi ya jinsia moja mjini Orlando, Marekani siku ya jumapili.
Katika tukio hilo watu 55 walijeruhiwa. Mshambuliaji Omar Mateen naye pia aliuawa kwa kupigwa risasi.
Maelfu ya waombolezaji wamekusanyika usiku wa jumatatu kuomboleza vifo hivyo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni