Mashabiki
wa Uingereza wameshambuliwa na mashabiki wa Urusi katika dimba la
Stade Velodrone wakati ghasia kali zilipoibuka baada ya kumalizi
amchezo wa Euro wa mataifa hayo ulioishia kwa sare ya 1-1.
Shabiki wa Urusi akimpiga teke la tumbo shabiki wa Uingereza
Mashabiki wa Uingereza wakikimbia kunusuru maisha yao baada ya kuanza kushambuliwa na mashabiki wa Urusi
Shabiki wa Uingereza akichaniwa fulana yake na mmoja wa mashabiki wa timu ya Urusi
Mashabiki wa Urusi wakiwatimua mashabiki wa Uingereza huku wakiwashambulia kwa mateke na ngumi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni