Mwenyekiti wa Tanzanite Disabled Atrs Group, Bw Mohammed Chasamba akimwaelezea shughuli za kikundi hicho Balozi wa GEPF, Rose Ndauka pamoja na mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano, Bw Aloyce Ntukamazina
Pichani wasanii wa kikundi cha ngoma cha Tanzanite Disabled Atrs Group wakitoa burudani kwa wageni wao kabla ya kupokea msaada huo.
Viongozi wa Tanzanite pamoja na GEPF wakifurahia ujuzi wa kikundi hicho katika kutoa burudani ya ngoma
Bi Rose Ndauka ambaye ndiye balozi wa mfuko wa GEPF akielezea majukumu yake kama balozi na msanii wa filamu katika kuyaunganisha makundi mbalimbali ya kijamii kujiunga na mfuko wa GEPF
Katibu wa kikundi cha Tanzanite Disabled Atrs Group, Bw Said Machako akitoa neno la shukrani kwa ujumbe kutoka GEPF kwa msaada huo ambao utawasaidia katika shughuli zao za kila siku.
Bi Rose Ndauka akikabidhi rasmi zawadi hizo kwa mwenyekiti wa kikundi hicho huku akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa GEPF, Bw Aloyce Ntukamazina
Mmoja wa wanufaika wa msaada huo akifurahia zawadi hizo na Bi Rose Ndauka
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni