Katika kipindi hiki, tumezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya
Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Mindi Kasiga ambaye ameeleza kuhusu nafasi na wajibu wa
serikali kwa waTanzania waishio Diaspora.
Pia amegusia wajibu
wa waTanzania hao kwa nchi yao na kujibu maswali mbalimbali, Karibu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni