Licha ya kukabiliwa na ugonjwa wa
Parkinson kwa muda wa miaka 32 pamoja na kuwa na umri mkubwa bondia
bora kuwahi kutokea dunani Muhammed Ali aliweza kukunja ngumi
kuonyesha ushujaa wake.
Mpiga picha Muingereza Zenon Texeira
alipata bahati ya kumpiga picha Muhammed Ali mwezi Machi mwaka huu,
picha ambazo pengine ni za mwisho kupigwa bondia huyo kabla ya kifo
chake siku ya jumamosi.
Muhammed Ali akiwa amepozi kwa picha
Muhammed Ali akiwa amevalia miuwani myeusi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni