Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic
amegusia uwezekano kutua Manchester United kwa kuwaambia mashabiki wa
klabu hiyo tangazo kubwa litatolewa jumanne wiki hii.
Mshambuliaji huyo anatarajiwa
kusaini mkataba wa mwaka mmoja Old Trafford wiki hii kabla ya kuanza
michuano ya Euro 2016.
Ibrahimovic aliyechochea ushindi wa
Sweden wa magoli 3-0 dhidi ya Wales atapatiwa muda wa kuwa nje ya
majukumu yake ya kimataifa na kocha wa Sweden Erik Hamren wiki hii.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni