Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Sein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang alipofika Ikulu Mjni Zanzinar leo kwa ajili ya kuaga,[Picha na Ikulu.] 14/06/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Sein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni