Katika Kuadhimisha Siku ya Kimataifa kuongeza Uelewa katika jamii kuhusu watu wenye Ualibino hii leo, 102.5 Lake Fm Mwanza, Inasema "Tumechagua Kutowabagua, Kuwatetea na Kuwalinda" #LakeFm#Rahayarockcity #RadioyaWananzengo #Mwanza . Tazama Ujumbe katika Video
https://www.youtube.com/embed/ijJW1i6lb44
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni