WANANCHI WA JIJI LA ARUSHA KUNUFAIKA NA MIRADI YA OPEC
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda(kushoto)akimkabidhi mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Terrat Mlimani,Kata ya Murirt,jiji la Arusha Mbuzi ukiwa ni mpango wa serikali ikishirikiana na wadau wa maendeleo kunusuru kaya masikini .

Wakazi wa Kata ya Muriet jiji la Arusha wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda.
Mratibu wa Tasaf Jiji la Arusha,Tajiel Mahega akisoma taarifa kabla Kaya zilizotambuliwa kukabidhiwa rasmi.
Sehemu ya Kuku wa kienyeji waliokabidhiwa wananchi kutoka Kaya masikini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni