Wapenzi wa mchezo wa tenesi
walijikutwa wakishangaa baada ya kuibuka ngumi baina ya shabiki wa
Argentina na Brazil katika michuano ya Olimpiki ya Rio.
Polisi walilazimika kuingilia kati
kuamua ugomvi huo baada ya mtazamaji wa Argentina kuamua kutumia
ngumi dhidi ya mwenzake wa Brazil.
Shabiki wa Brazil akimsukuma shabiki wa Argentina
Mashabiki hao wakipigana biti hata baada ya kuamuliwa na askari polisi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni