Mshindi wa Miss kanda ya kaskazini Maurine Ayubu akiwa anapunga mara baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa pili Glory Stephen huku wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania.(PICHA ZOTE NA WOINDE SHIZZA,ARUSHA)
Hawa ndio warembo wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha
Mmiliki wa blog ya libeneke la kaskazini akiwa na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia katika onyesho hilo
Wa tatu kulia ni dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge nae aliuthuria katika onyesho hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini
Dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge akiwa anaongea na washabiki waliuthuria ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha katika shindano la kumsaka mrembo wa kanda ya ziwa (miss kanda ya ziwa ) ambalo linatarajiwa kufanyika mapema mwezi wa tisa mwaka huu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni