Mwanamuziki
wa Kenya Charles Njagia Kanyi aka Jaguar amemuokoa mwanamuziki wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo General Defao ambaye alishikiliwa
kwenye hoteli moja ya Mombasa hii leo.
General
Defao alishikiliwa kwenye hoteli ya Rickseaside Villas huko Nyali kwa
kushindwa kulipia gharama za chakula na malazi.
Akiongelea
uamuzi wake huo Jaguar amesema tukio hilo ni la bahati mbaya kwa
Defao, hivyo yeye kama msanii mwenzake ameamua kumlipia, kwani hali
hiyo inaweza kumtokea mtu yeyote.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni