Kocha
Massimiliano Allegri amesema mchezaji anayewaniwa na Manchester
United, Paul Pogba atarejea katika kambi ya mazoezi ya Juventus
jumatatu.
Mchezaji
huyo wa kimataifa wa Ufaransa amekuwa kwenye mapumziko nchini
Marekani baada ya kumalizika michuano ya Euro 2016.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni