Mwanariadha Mjamaica, Usain Bolt,
ameungana na madansa wa ngoma ya Samba kutumbuiza katika kuhamasisha
watazamaji kujitokeza kuangalia michuano ya Olimpiki Rio 2016.
Usain Bolt alishinda mbio za mita
100, mita 200 na 100 kupokezana vijiti kwa wanariadha wanne katika
michuano ya Olimpiki ya Beijing na London na anatarajia kufanya hivyo
tena Rio.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni