Paul
Pogba amepewa ruhusu na klabu yake ya Juventus kufanyiwa vipimo vya
afya yake katika klabu ya Manchester United.
Kiungo
huyo wa Ufaransa mwenye miaka 23, amekuwa akihusishwa na uhamisho wa
rekodi ya paundi milioni 100 ili kurejea Old Trafford, baada ya
kuondoka mwaka 2012 kwenda Juve.
Ijumaa,
Kocha ya Manchester United, Jose Mourinho alisema anataka makubaliano
ya kumnasa kiungo huyo yafikiwe ifikapo Agosti 14, wakati
watakapocheza na Bournemouth.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni