Cristiano Ronaldo atashuka dimbani
akiwa na Real Madrid kwa mara ya kwanza tangu aumie katika mchezo wa
fainali wa Euro 2016, wakati Madrid ikivaana na Osasuna katika ligi
ya La Liga hii leo.
Mshambuliaji Ronaldo, 31, alikosa
michezo mitatu ya mwanzo ya ligi hiyo yenye ushindani kutokana na
kuwa na jeraha katika goti lake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni