Jennifer Lopez ambaye ni maarufu kwa
kuimba na kudansi, ameingia kwenye klabu ya ndondi kujifua ili
kujiweka fiti kimapambano kwa ajili ya kucheza filamu ya shoo ya TV
ya Shades of Blue.
Mrembo Lopezi, 47, ameonekana Jijini
Manhattan kwenye klabu ya ngumi akijifua na kutoka jasho katika
kuuweka mwili wake vizuri ili kuweza kupiga picha za filamu hiyo
akicheza kama bondia.
Jennifer Lopez akisaidiwa kuvalishwa gloves tayari kwa mazoezi ya ndoni
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni