Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Swala ya Idd-El-Hajj Kitaifa, juu ya matayarisho ya Swala hiyo huko katika Skuli Mpya ya Mkanyageni eneo ambalo linatarajiwa kufanyika Baraza la Iddi Kitaifa.
Wajumbe wa Kamati ya Swala ya Idd -El-Hajj Kitaifa , wakimsikiliza Katibu wa kamati hiyo ambae pia Waziri wa nchi Ofisi ya Rais , Katiba , Sheria , Utumishi wa Umma na utawala bora , Haruna Ali Suleiman.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria , Utumishi wa Umma na Utawala bora ambae pia ni Katibu wa Kamati hiyo , akizungumza jambo kuhusiana na matayarisho ya Swala na Baraza la Idd yanavyoendelea katika Wilaya ya Mkoani -Pemba. Picha na Hanifa Salim -Pemba.
Jumamosi, 10 Septemba 2016
MAANDALIZI YA SALA YA IDD EL HAJJ NA BARAZA LA IDD KITAIFA MKOANI PEMBA YAKAMILIKA
Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - el haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa Swala ya Idd -el-Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.
Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - El - Haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa Swala ya Idd-el Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni