Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk.Leonard Maboko, akizungumza na wadau wa ukimwi katika mkutano wa kufahamiana uliofanyika jana Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam.
Na Dotto Mwaibale
Na Dotto Mwaibale
Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), akizungumza na wadau wa ukimwi katika mkutano wa kufahamiana uliofanyika jana Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Tacaids), Elizabeth Kaganda na Mkurugenzi wa Ufatiliaji na Tathmini, Dk. Jerome Kamwela.
Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao.
Mkurugenzi wa wa Habari na Uraghibishi, Jumanne Isango na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Tacaids, Yasin Abbas wakiwa kwenye mkutano huo.
Taswira ya mkutano huo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni