Penati ya dakika za mwisho ya Santi
Cazorla imeipatia ushindi usiotarajiwa Arsenal dhidi ya Southampton
ambayo ilionekana kuwa imara licha ya kuwa ugenini katika dimba la
Emirates.
Katika mchezo huo Southampton
ilipata goli la kuongoza baada ya kipa Petr Cech kuugonga mpira wa
adhabu uliopigwa Dusan Tadic na kugonga mwamba na kisha mpira huo
kurudi na kumgonga mgongoni na kuingia wavuni.
Shuti lililopigwa na Dusan Tadic likiingia wavuni baada ya kugonga kipa Petr Cech
Laurent Koscienly akifunga kwa mpira wa tik taka
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni